 Na JAMES LYATUU
Na JAMES LYATUUKatika kumuwezesha mkulima aweze kufanya kilimo cha kisasa na chenye tija, Kampuni ya BALTON Tanzania inayojihusisha na masuala ya kilimo imeanzisha kifurushi kijulikanayo kama Mkulima jikwamue chenye lengo la kumuwezesha mkulima kutoka katika kilimo cha mazoea na kumfanya kuweza kufanye kilimo chenye tija kitakachosaidia kukuza uchumi.
Akizungumzia namna program hiyo inaweza
kumnasua mkulima kiuchumi, Afisa habari wa kampuni hiyo LINDA BYABA ameeleza
kuwa lengo la kuanzishwa kwa mfu
mo huo ni baada ya kuona wakulima wengi wakifanya kilimo cha mazoea.
 Hapa
anabainisha faida za mkulima kutumia kifurushi hicho cha kilimo kinachotumia
teknolojia ya kisasa ya GREEN HOUSE.
Hapa
anabainisha faida za mkulima kutumia kifurushi hicho cha kilimo kinachotumia
teknolojia ya kisasa ya GREEN HOUSE.
Clouds Tv imezungumza na baadhi vijana ambao
ndio wamekuwa wakilalamikiwa kutojihusisha na kilimo na huu ndio mtazamo wao.
Ni wakati
muafaka sasa kwa wakulima kubadilika na kufanya kilimo cha kisasa kinachoweza
kuinua uchumi wao binafsi na taifa kwa ujumla.
 



No comments:
Post a Comment