Nyota huyo
wa Juventus amekana kuwa hakuwa chanzo cha ajali iliyopelekea kuharibika kwa gari yake ya
kifari aina ya Ferrari lenye thamani ya pauni
milioni 230,000 japo amekiri kuwa alikuwa akitokea kwenye kumbi za starehe .
Kesi hiyo
itapelekwa mahakamani, kwenye ajali hiyo Vidalaliyekuwa na mkewe Maria Teresa hawajapata
majera makubwa.
Mkurugenzi wa hospitali ya Buin, ambapo
Vidal na mkewe walienda kufanyiwa uchunguzi iliyopo kusini mwa mji mkuu wa
Chile Santiago, amesema Vidal kajeruhuwa shingo wakati mkewe Maria amejeruhiwa
kiwiko cha mkono.
Msemaji wa Polisi nchini Chile Ricardo Gonzalez aliiambia Chile tv kwamba Vidal alikamatwa kwa kosa la kusabisha ajali usiku wa kuamkia leo.
gari hiyo inadhamani ya £230,000 squad
No comments:
Post a Comment