Na JAMES LYATUU 
Habari zilizotufikia hivi punde zinaarifu kuwa Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Shaaban Issa Simba amefariki dunia.
 Akidhibitisha kutokea kwa kifo hicho
 Shehe Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Sheikh Alhadi Mussa Salim amesema 
Mufti amefikwa na umauti hii leo asubuhi katika Hospitali ya TMJ 
alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
Akidhibitisha kutokea kwa kifo hicho
 Shehe Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Sheikh Alhadi Mussa Salim amesema 
Mufti amefikwa na umauti hii leo asubuhi katika Hospitali ya TMJ 
alikokuwa amelazwa kwa matibabu. "Ni kweli Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Shaaban Issa Simba amefariki hii leo asubuhi kwa maradhi ya sukari na presha," alisema kwa ufupi Sheikh Alhhadi.
"Ni kweli Mufti Mkuu wa Tanzania, Sheikh Shaaban Issa Simba amefariki hii leo asubuhi kwa maradhi ya sukari na presha," alisema kwa ufupi Sheikh Alhhadi.
Mwili
 wa marehemu umehifadhiwa katika Hospitali ya Jeshi Lugalo na unataraji 
kusafirishwa kesho kwenda  mkoani Shinyanga  kwaajili ya maziko. 
Father
 Kidevu Blog inaungana na waislamu wote nchini katika maombolezo na 
inawapa pole Familia yake, ndugu jamaa na marafiki na wailsamu wote 
ndani na nje ya Tanzania. 
 

No comments:
Post a Comment