African music is on my blood Back to my root Proud to be Africa,be your self #lets talk about African culture,tourism music ,life style, business,technology, money, fashion, Love, Marriage, Health, food, animals,and so on!!!!
 
 Mshambuliaji mpya wa klabu ya Young African  Malimi Busungu ametambulishwa rasmi leo makao makuu ya klabu hiyo.
Mshambuliaji mpya wa klabu ya Young African  Malimi Busungu ametambulishwa rasmi leo makao makuu ya klabu hiyo. Kwa upande wake mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano wa klabu 
hiyo Jerry Murro amesema usajili wa busungu ni kutokana na mapendekezo 
ya kocha hans van pluijm.Busungu alisain kuichezea Young African kwa mkataba wa miaka 2 siku 
ya jumamosi akitokea timu ya Mgambo JKT ya mkoani Tanga aliyoichezea 
msimu uliopita.
Kwa upande wake mkuu wa kitengo cha habari na mawasiliano wa klabu 
hiyo Jerry Murro amesema usajili wa busungu ni kutokana na mapendekezo 
ya kocha hans van pluijm.Busungu alisain kuichezea Young African kwa mkataba wa miaka 2 siku 
ya jumamosi akitokea timu ya Mgambo JKT ya mkoani Tanga aliyoichezea 
msimu uliopita. Kuhusu idadi ya wachezaji ambao wataachwa na timu hiyo msimu huu, 
Jerry alikua mgumu kuwataja kwa majina lakini akasisitiza wachezaji hao 
tayari wanazo taarifa za kutoendelea kuwa na timu hiyo, na kiashiria cha
 kutokua nao ni namba ya jezi walizokua wanavaa kupewa wachezaji 
wengine.
Kuhusu idadi ya wachezaji ambao wataachwa na timu hiyo msimu huu, 
Jerry alikua mgumu kuwataja kwa majina lakini akasisitiza wachezaji hao 
tayari wanazo taarifa za kutoendelea kuwa na timu hiyo, na kiashiria cha
 kutokua nao ni namba ya jezi walizokua wanavaa kupewa wachezaji 
wengine.
No comments:
Post a Comment