Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Wednesday, November 27, 2013

KAMATA FURSA TWENDE ZETUnikiwa na mh January Makamba naibu waziri wa mawasiliano sayansi na teknolojia katika semina ya Fursa iliofanyika katika umbumbi wa Diamond Jubilee hall hapa dar es Saalam.

pichani katika mahojiano na Nasib Abdul maarufu kwa jina la Diamond mmoja ya wanamuziki wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini ambae ameiona Fursa akaitambua na kisha kuifanyia kazi.


picha ya pamoja kutoka kushoto ni Da Regina Mwalekwa Mh January Makamba  Jerome Risasi na mie sophia kessy.