kila ifikapo tarehe 25 December kwangu huwa ni siku muhimu sana si tu kwakuwa wakristo ulimwenguni kote tuna adhimisha sikukuu ya Christ Mass, bali hunikumbusha kujumuika na Mama yangu mpenzi Salama J mohamed Mama yake na Sophia kessy ambae huadhimisha siku yake ya kuzaliwa akiwa kazaliwa miaka kadhaa iliopita huko Sikonge Tabora Mama wa Kinyamwezi Mwenye asili pia ya Tanga sina cha kumpa isipokuwa daima nitajitoa kuhakikisha anakaa kwa amani na upendo kama alivyo nilea hiyo ndio ilikuwa ahadi ya zawadi kwangu kwake mapema juzi alipoadhimisha iku ya kuzaliwa.
Mama nakupenda sana tena sana Happy Birthday wa Mara nyingine tena.
sophia kessy.
No comments:
Post a Comment