African music is on my blood Back to my root Proud to be Africa,be your self #lets talk about African culture,tourism music ,life style, business,technology, money, fashion, Love, Marriage, Health, food, animals,and so on!!!!
Tunapatikana Sinza kwa Remmy
![Tunapatikana Sinza kwa Remmy](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhpFpXL5-GSG0zFGlGNXjKIwQTchjYA8RZGEYewpUBiGZZOF9Z4H9YlekCt2h2dzLRTXGtH0BfedARm7ZhNya-sTLJJs8PskkwwOqGEcbkfMd8TCQKH0nW60s-jYP1ctxPqBjaRJd2Hpku_/s760/sk.jpg)
Friday, December 16, 2011
VERRY WELCOME TO MY WORLD!!
Am back again my friends baada ya kupotea kwa muda kutokana na mtu kunifungia blog yangu ya mama landi hivyo haita tumika tena nimekuja na muonekano mwingine katika blog yangu hii mpya ambayo itakupa nafasi ya kutambua na kujione mambo mbali mbali ya maisha yetu ya kila siku , mimi binafsi pamoja na watu maarufu , viongozi , muziki, wanyama , na kila kitu kinacho izunguka dunia mimi ni mwana habari nitakuwa nawe kihabari zaidi na kiburudani pia karibu unaruhusiwa kuwa memmber kuacha comment na kushauri, lugha chafu hazitaruhusiwa katika eneo hili ustaarabu uchukue mkondo wake karibuni.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Big up welcome back again
ReplyDeleteyou were heard very loud and clear mamaaa.... congratulations on your day to day achievements in this your area of specialization. Just to quote what I like about your introduction, that "Opportunities do not come to those who wait but rather captured by those who attack them"...well said mamaaa.....keep flying with your very own wings!!!
ReplyDeletethank you so much guys mnanipa moyo wakusonga mbele na daima nitasonga
ReplyDeleteHongera sana kwa kurudi hewani kama kawaida...SIMBA@US
ReplyDelete