BAADA YA KUPOTEA KWA SIKU KADHAA HATIMAE WAPENZI NA WADAU NIMEREJEA TEANA NIKIWA NA AFYA TELE ASANTENI KWA SUPORT NA KWA KUENDELEA KUTEMBELEA BLOG HII BASI SI VIBAYA NIKA SHEAR NA NYIE KILE NILICHOKIONA NILIPOKUWA AMA KUWAFAHAMISHA NINI KILIJIRI ENDELEA KUWA NAMI SOON NAKUDONDOSHEA BURUDANI NA HABARI HUSIKA
SOPHIA KESSY.
SOPHIA KESSY.
mbona macho kama umetoka kulala?!
ReplyDeletemdau we kweli mtbiri nilitoka kuamka
ReplyDeletewelcome back
ReplyDeleteumetulia
ReplyDeletena kaubarid ka morang'u tena. Karibu
ReplyDeleteYaaa Thats right. Sophy
ReplyDelete