Ambae kwa sasa amekuja na bidhaa yake mpya ni lotion hebu soma maelezo pichani chini na jinsi ya kuweza kumsuport siku zote kuwa naamini ma binti wa kibongo wakali , wanakili na tunaweza kwa lolote ni wajasiri na wapambanaji haya sasa kazi ni kwako BUY MY LOTION ya TK.
Sasa ni wakati wa kupata ile ngozi yako nyororo asilia unayoitaka!
MyLotion ni lotion asilia itakayofanya ngozi yako kuwa na mwonekano mmoja asili na wenye kuvutia. MyLotion pia inakuja na scents 2, Limao na Vanilla. Karibu kujaribu MyLotion!!
MyLotion ni lotion asilia itakayofanya ngozi yako kuwa na mwonekano mmoja asili na wenye kuvutia. MyLotion pia inakuja na scents 2, Limao na Vanilla. Karibu kujaribu MyLotion!!
Bei:
- $45 Small 8oz
- $65 Regular 16oz
- $110 Large 32oz
- $10 United States
- $15 International (kama ukinunua kupitia PayPal itakuchaji $10 tu. Raha eh!?...)
Kuagiza:
- Purchase using a credit card with PayPal
- Waweza tumia Western Union, au Money Gram kwa kutuma malipo kwa anwani hii: Teddy Haight, Los Angeles, CA 90028.
- Kisha tuma email ya maelezo ya kupokea hayo malipo kupitia email hii=> "getmylotion at gmail.com" . Bila kusahau anwani yako utakayotaka lotion ikufikie.
Kama una swali lolote husisite kunipigia simu moja kwa moja ukaongea na mimi +1(323) 325-1772
Nawapenda woooo't
~TK
Haijarishi huko wapi, MyLotion itakufikia popote pale ulipo. India, Africa, Ulaya ndani ndani, Asia, na Marekani bila shaka.
Big up tk!
ReplyDelete