Kimora Lee Simmons akifurahiaChristmas pamoja na familia yake . TV star huyo alionekana pamoja na mumewe mwanamitindo Djimon Hounsou na mwanae wa kiume mwenye miaka 2-aliejulikana kwa jina la Kenzohuko St. Barts siku ya (December 25).
Familia nzima akiwemo , Ming Lee, 11, a Aoki Lee, 9 ( watoto Kimora’aliezaa na mumewe wa kwanza walietalikiana bwana Russell Simmons) waliitumia wiki yooe vizuri kabisa kwenye ufukwe wa Flamands .
No comments:
Post a Comment