Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Thursday, July 5, 2012

FERRE GOLA NA FALLY IPUPA WAUNGANA KWA PAMOJA NA KUIMBA WIMBO KWA AJILI YA WATOTO NA AMANI NCHINI CONGO.

Wanamuziki chipukizi katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Ferre Gola na Fally Ipupa, wameungana pamoja na kuimba wimbo kwa ajili ya watoto na amani nchini humo.
Shirika la Watoto la Umoja wa Mataifa(UNICEF)
Shirika la Watoto la Umoja wa Mataifa(UNICEF)
Mradi huo wa pamoja utafadhiliwa na mashirika ya kimataifa yakiwemo Shirika la Watoto la Umoja wa Mataifa, UNICEF na Shirika la Msalaba Mwekundu.


Fedha zitakazotoka baada ya kuuza wimbo huo zitatumiwa kwenye miradi ya elimu na huduma za kiafya za watoto yatima. Hata hivyo kuimba pamoja kwa Ferre Gola na Fally Ipupa kumezusha maoni mengi kwa mashabiki wao kuhusu nani mwanamuziki bora.

2 comments:

  1. katika kizazi cha tano cha DRC kijana ferre gola nimkali ile mbaya

    ReplyDelete