Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Wednesday, July 4, 2012

Pakistan imesema itafungua upya barabara zinazotumiwa kusafirishia bidhaa za wanajeshi wa muungano wa NATO nchini Afghanistan.

Magari ya kusafirisha bidhaa za NATO
Magari ya kusafirisha bidhaa za NATO

Serikali ya Pakistan imesema itafungua upya barabara zinazotumiwa kusafirishia bidhaa za wanajeshi wa muungano wa NATO nchini Afghanistan.
Hii ni baada ya kupokea rasmi ombi la msamaha kutoka kwa serikali ya Marekani, kufuatia mashambulio ya anga yaliyotekelezwa na wanajeshi wa marekani, yaliyopelekea kuuawa kwa wanajeshji ishirini na wanne wa nchini Hiyo.
Waziri wa mambo ya nje wa marekani, Bi Hillary Clinton, amesema serikali ya Pakistan imeamua kufungua upya barabara hizo zinazotumiwa kusafirisha bidhaa za wanajeshi wa muungano wa NATO, ambazo zilifungwa mwezi Novemba mwaka uliopita.
CHANZO CHA HABARI HIZI NI BBC