Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Monday, July 9, 2012

NA HIYO NDO HABARI YA MUJINI KWA SASA : KIGOMA ALLSTARS - LEKA DUTIGITE.

Kigoma All Stars  MWASITI, BANANA ZORO, CHEGE, DIAMOND, ABDU KIBA, OMMY DIMPOZ, RECHO, LINEX, BABA LEVO, MAKOMANDO NA PETER MSECHU. 
Dhumuni na nia ya kutengeneza wimbo huu ni kuweka umoja wa watu wa kigoma na tanzania kwa ujumla. Pia watafanya show ndani ya kigoma wiki ijayo kwa ajili ya kusaidia wanafunzi na yatima ndani ya kigoma.
NA HIYO NDO HABARI YA MUJINI LEKA DUTIGITE.

No comments:

Post a Comment