Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Friday, October 2, 2015

AWILOLONGOMA ANAENDELEA KUCHANJA MBUGA

MWANAMUZIKI Awilolongoma ameonekana kuendelea kufanya
vyema hasa baada ya kuibuka akiwa na kundi la P square na wimbo wake wa  ENEMY SOLO .



katika kudhibitisha kuwa huenda wimbo huo ukawa viral watu maarufu wengi akiwemo moja wa comedian matata sana kutoka uingereza Eddie Kadi nae hakusita kushare hisia zake za kufurahia wimbo huo kadhalika wakiwemo wanamuziki nguli wamekuwa wakirecord clip za wimbo huo na kisha kushare katika mitandao mbalimbali ya kijamii kama vile instagram.

pichani hapo kushoto awilo akiwa na Celeo 

So Awilo  is back yani amerudi na amerudi kweli mjipange wanamuziki wa afrika..

Pichanai hapa ni Awillo longomba akiwa na Mwanae  waki selfika..

No comments:

Post a Comment