Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Sunday, October 4, 2015

KARMAPA: ASEMA YEYE NI MWANGALIZI WA JAMII,NA KUZUNGUMZIA WAIMBO WAKE WA 46664.


Mmwanamuziki Karmapa anasemekana kuwa yeye ni  kamamwangalizi wa jamii katika kazi zake, kujadili hali halisi ya maisha, kukemea wakati huo huo  kutoa kasoro ya jamii na kutoa ushauri ili kufanya mabadiliko kwenye jamii yake.

Akizungumza na  Afriqu'Echos MAGAZINE (AEM): kuhusu title ya no 4666 4 ambayo inahusu na kwa namna moja au nyingine na  Nelson Mandela?
Kwa kuangua kicheko mwanamuziki huyo alijibu kwa kujiamini kuwa ndio . 4666 4 ni jina la moja ya nyimbo za albamu yangu; ni wimbo ni wimbo kwa wale waliojitoa sadaka maisha yao kwa wengine nah ii ni kwa wote kama Nelson Mandela, bila shaka, lakini  pia wakina Thomas Sankara, Kwame Nkrumah, Patrick Emery Lumumba, Nasser ... Hivyo ni mashujaa hao, mashahidi wale ambao  waliongoza.

wimbo huo unapatikana katika album ya mwanamuziki huyo alioipa jina la 46664.

No comments:

Post a Comment