Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Sunday, October 4, 2015

JB MPIANA NA ALBAMU YAKE YA "BALLE DE MATCH"


HAYA BASI habari inasema kwamba  JB Mpiana na kundi lake, Wenge BCBG katika harakati za kukamilisha kazi katika albamu yao mpya iliopewa jina la  "Match Point" na waliahidi mashabiki na wapenzi w amuziki kwmaba ingekuwa sokoni mapema mwezi   Mei 2015. Lakini  cha kusanhangaza ni kwamba mpaka kufika mwishoni mw amwezi  Juni na hakukuwa na CD nakala au DVD ya albamu hiyo  katika maduka.



baadhi ya wapenzi wa muziki nao wamekuwa wakihoji je ukowapi umakini wa mwanamuziki mkubwa kama huyo na ahadi zake nyingi?  kuna ambao pia walisikika kusema kuwa wamechoshwa na ahadi hewa za Bin Adam  na kundi lake  nikinukuu mmoja wa mashabiki hao akitumia lugha ya kimombo alisema kuwa  "In any case it is not serious from an artist of his caliber," mwisho wakunukuu..


wengine walijishauri kwa kusema kuwa huenda JB Mpiana anaogopa kuibiwa kwa kazi zake lakini hiyo haimanishi asiachie album bali ajaribu kujitolea.





No comments:

Post a Comment