Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Monday, January 16, 2012

Charles baba wa Mashujaa afuatwa na Polisi Kazini

hapa mjini wanakuambia ukistaajabu ya musa utayaona ya.......... haya basi kijana charles baba amejikuta katika wakati mgumu baada ya kufanya maamuzi ya kuondoka katika band ya twanga pepeta na kujiunga na Mashujaa Music, Charles baba amejikuta katika mikono ya polisi mara mbili tangu alipotangaza kujiunga na bendi hiyo .

Mapema tu jana katika ukumbi wa Busness Center uliopo victoria mwanamuziki huyo akamatwa na polisi kisa kwa nini kajiunga na Mashujaa Music kwa taarifa zilizo chini ya carpet lakini pia kuna fununu kuwa charles baba anadaiwa kiasi cha shilingi laki 3 alizochukua wakati alipokuwa twanga alitonya mshabiki mmoja na mtu wa karibu na charles na kudai kuwa huenda pia hiyo ikawa sababu ya mwanmuziki huyo kufuatiliwa na polisi mara kwa mara hasa baada ya kujitangaza kujiengua twanga na kuhamia mashujaa huku akiwa na deni........ hata hivyo muda mfupi baadae akaachiwa huru mama land live imezungumza na manager wa band kisa na mkasa sty tune this week kufahamu zaidi. usikose kutazama mama land ya clouds Tvna haya ni baadhi tu ya maoni ya wadua kupitia facebook naomba na wewe usome uniachie maoni yako kutokana na hilo jambo.

MAONI YA FACEBOOK

Hamisy Nahaki Jr. dah yan wanafel vbaya wanaosababisha kukamatwa kwake...mbona Charz kakili nafsi yake iko Mashujaa why harasing him..?
11 hours ago ·
 • Jr Jr Axmed Jaman...kwani Lazima afanye kazi wanapotaka wao???charls kwanza pale ulikua unazeeka tuu...we shujaa bana ebo!
  11 hours ago · · 1

 • Ndekwa' Kwise Eeh! Asha akubali matokeo? C kisima cha burudani kile? Mambo ya police tena?
  10 hours ago · · 1

 • Hamisy Nahaki Jr. hahahaha Kwise n Axmed dahh yan mmepga ikulu Asha kwanini jaman..,
  10 hours ago ·

 • Juma Nkwabi Usilolijua niusiku wa giza.
  10 hours ago ·

 • Lucoba Lyambogo Kazi kwel kwel
  10 hours ago ·

 • Lucoba Lyambogo Kazi kwel kwel
  10 hours ago ·

 • Jr Jr Axmed Nkwabi haya tutoe huko gizani...
  10 hours ago ·

 • Ndekwa' Kwise ‎@Hamisy Ukifuatilia habari inasema "Kakamatwa kisa kwa nini kajiunga na mashujaa" Hapo hakuna haja ya kuhoji inaeleweka moja kwa moja labda mtoa habari wetu ndo awe kakosea.
  10 hours ago · · 1

 • Hamisy Nahaki Jr. Kwise mi sijaambiwa na mwanahabari nimeshuhudia tukio hapa Green Acress Business Park...na Charz Baba ameliongelea b4 hajaimba nyimbo ya mwisho...kiukweli naanza mchukia Asha...funy enough fagason rapa wa twanga zaman now yupo na extra bongo leo kashow up hapa kwenye show ya mashujaa...me shujaa bana
  10 hours ago ·

 • Jr Jr Axmed Twanga wana"twanga" wasanii na kuwaangamiza...ni historia yao......
  10 hours ago ·

 • Ndekwa' Kwise Aliongelea kuwa atakamatwa? Funguka @Hamisy...... Sisi wadau wa muziki wa dansi bana funguka! Kumbe umeshuhudia?
  10 hours ago ·

 • Bob Manase Tunarudi kule kule, wasanii na contracts, huyu katumia police na mwingine atatumia nini, inabidi somo liwepo pia kwa wasanii kuhusu kukiukwa kwa contracts....ooops ila sijui kama ni kukiukwa kwa contract ndio kumesababisha mabavu haya ya kutumia police, ila na hisi tuu!
  10 hours ago ·

 • Hamisy Nahaki Jr. kakamatwa hapa wen mashujaa wanaperfom n aliongea baada ya kuachiwa na akaimba the last song nyimbo mpya ya mashujaa ambayo nayeye ameingiza voko
  10 hours ago ·

 • Ndekwa' Kwise ‎7bu za kukamatwa? au ndo iyo alioisema Sofia? @Bob ilo unalolisema linawezekana ila ndo wakamvizie kwenye show? Wamechemka.
  10 hours ago ·

 • Linar Christian Wanafika mbali,mpaka polisi.
  9 hours ago ·

 • Michael Makundi Kazi kwelikweli
  9 hours ago ·

 • Bob Manase Sikubakiani kabisa na kukamatwa kwake kwenye show, maana kunautaratibu wa mtu kutumia sheria , pale unapo hisi makubaliano yame kiukwa, ila huu ni upande mmoja tuu wa zile ishu za wasanii kulalamika kuwa wanaonewa, ndio mana nikasema, huyu kakiuka makubaliao kafuatwa na police kwenye show nakukamatwa , mwingine yeye ataamua kukubania sababu umekiuka makubaliano ,maana umejiona mjanja. Nadhani wasanii wanatakiwa waelimishwe kuhusu biashara hii ya mziki! @ Ndekwa' kwise
  9 hours ago ·

 • Bob Manase Mtu umetuma millions kumuandaa msanii mbaka umefika juu na hata hajarudisha gharama zake , halafu msanii anajiona mjanja ana vunja contract na kunakimbilia bendi nyingine , nadhani inauma sana na kwa ku panic unaweza ita hata FFU ..ingawa sijui chanzo ni nini ! @linar christian
  9 hours ago ·

 • Ndekwa' Kwise Haya @Bob tusubiri kusikia na upande wa pili au Sophia asogee kutujuza!
  8 hours ago ·

 • Bob Manase Itabidi tusikie tujue nini tatizo, maana kila kitu ni fake kwnye hii industry
  8 hours ago ·

 • Alexander Kimaro lol amekua kamanyola huyo embu fuatilia kwanini kamanyola aliimba ule wimbo wa sina ndugu... shit happens
  7 hours ago · · 1

 • Paschal Were Gabriel Huyo mama ndo zake 2meshamzoea bhana,hata chocky alishachzea polisi alivyoondoka twanga,yaani pale unatakiwa kufa tu sio kuondoka,yule mama anaelekea kubaya sasa.