Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Monday, January 16, 2012

IJUMAA ILIKUWA KITCHEN PART YA DA HUU WA LEO TENA HONGERA MAMAijumaa mwishoni mwa wiki iliopita  ilikuwa kitchen part ya mfanyakazi mwenzetu Dah Huu ambapo tulijumuika kwa pamoja kumfunda na kumtakia safari njema ya hukooo aendako katika maisha mapya ya ndoa.
hapa pambana kuangalia pic na mishono ya mavazi wanakwambia mwanamke tenge babuuuuuu.