Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Friday, December 16, 2011

FURAHI DAYYYYYYYoooh yes friday ndio hiyo hapo kila mmoja naamini amepanga kutoka kivyake na kivingine kabisa ilimradi tu kujiburudisha naomba utakapokuwa na  utakachokipata kiwecha kweli basi nirushe kunako sophia80tz@yahoo.com tuweze kushea pamoja kumbuka hii ni blog yako wewe mdau inakuhusu kwa asilimia 100% unaharusi, Graduation, part, birthday part, chochote kile yani disco, katika maswla ya utalii, usafiri na muziki basi nipe habari nami nikupe habari tufurahi pamoja.


SOPHIA KESSY ANAKU LUV SANA KUNYWA KWA KIASI NA UKIONA UMELEWA BASI USIENDESHE GARI TAFADHALI MWISHO WA MWAKA HUU BADO NAKUHITAJI ULEVI NOMA.