Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Thursday, December 29, 2011

Mama land ilipotua yatua kinshasa kushuhudia Papa wemba akirecord na mashujaa muzica

hii ndio studio kubwa na ya kisasa huko Kinshasa ambayo wanamuziki wengi wakongwe huko Kongo wamekuwa wakiitumia kufanyia kazi zao akiwamo, papa wemba, bozi boziana, werasoin, Jb mpiana na wegine ni studio gani na inaitwaje live katika new season ya Mama land.

Next season Mama land ilitua kinshasa live utashuhudia papa wemba akipiga vocal katika wimbo alioshirikishwa na Mashujaa Musica wataalam wa muziki wa hapa Bongo .lakini pia utapata kushuhudia live Werrasoin akiingiza vocal kwa ajili ya single zake mpya kama unavyo muona pichani
Bozi Boziana pia usikosee katika Mama land new season.