Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Saturday, December 17, 2011

MWANAMKE KUPEDEZA HA HA HA NA BLUE PALACE SALOON

 me and cici mtaalam wangu wa kucha
 vidoleee


nyweleeeeeeee


nikiwa na mtaalam wangu wakucha Cici biie toka China wanakomajeeee!! MAMBO YA BLUE PALACE SALOON SINZAMAPAMBANO NENDA KAJIONEE BEST.

kila mwanamke anahitajikupendeza na kujitunza naninapenda sana urembo kama kawaida yangu Blue Palace saloon ndio wapambajiwangu kuanzia kwenye show yangu ya mama land mpaka niwapo mtaani awa jamaan wataalam wakucha, kupamba maharusi na wanachora tatoo.
leo kama kawa nikawatembelea na kutoka hv.