Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Saturday, December 31, 2011

mambo yote ni Lidaz Club leo mpaka kuchwee na tamasha la bongo 50 katika mkesha wa mwaka mpyaAIRTEL 50 na mkesha wa mwaka mpya katika viwanja vya lidaz Club hapa jijini Dar Es saalam ndio mambo yameanza sasa ni wakati wako unaambiwa kujisogeza Taratiibu katika kuja kufurahi na kuburudika tukusubiri kuuanza vyema mwaka mpya.
 uwanjani tayari kabisa Exta Bongo Next Level waiongozwa na Alichoki wameanza kutoa dozi ya burudani na airtel 50. bado ni muendelezo wa sherehe za miaka 50 ya uhuru wa Tanzania.
Gari mpya ya kurushia matangazo ya Clouds Tv ( OB VAN)   tayari kabisa ikiwa imesha paki sehemu maalum ya kuweza kurusha live Tamasha la Bongo 50 linarushawa  live na Clouds Fm na Clouds Tv pande za lidaz Club leo 


Meneja  uhusiano wa kampuni ya simu za mkononi ya  Airtel bwana Jackson Mbando  akiwa na baadhi ya waandaaji wa tamasha la funga mwaka wakigawa CD zenye nyimbo za wasanii mbalimbali .