Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Thursday, December 29, 2011

Kimora Lee Simmons alivyo sherehekea Christmas paoja na wanae & mumewe huko St. BartsKimora Lee Simmons akifurahiaChristmas pamoja na familia yake .  TV star  huyo alionekana pamoja na mumewe mwanamitindo Djimon Hounsou na mwanae wa kiume mwenye miaka 2-aliejulikana kwa jina la Kenzohuko St. Barts siku ya  (December 25).
Familia nzima akiwemo ,  Ming Lee, 11, a  Aoki Lee, 9 ( watoto Kimora’aliezaa na mumewe wa kwanza walietalikiana bwana  Russell Simmons) waliitumia wiki yooe vizuri kabisa  kwenye ufukwe wa Flamands .