Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Friday, December 16, 2011

VERRY WELCOME TO MY WORLD!!

Am back again my friends baada ya kupotea kwa muda kutokana na mtu kunifungia blog yangu ya mama landi hivyo haita tumika tena nimekuja na muonekano mwingine katika blog yangu hii mpya ambayo itakupa nafasi ya kutambua na kujione mambo mbali mbali ya maisha yetu ya kila siku , mimi binafsi pamoja na watu maarufu , viongozi , muziki, wanyama , na kila kitu kinacho  izunguka dunia mimi ni mwana habari nitakuwa nawe kihabari zaidi na kiburudani pia karibu unaruhusiwa kuwa memmber kuacha comment na kushauri, lugha chafu hazitaruhusiwa katika eneo hili ustaarabu uchukue mkondo wake karibuni.