Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Thursday, May 28, 2015

FERRE GOLLA MIONGONI MWA WANAMUZIKI AMBAO NAWAKUBALI SANA Mfahamu kwa jina la ferre gola shelani ni miongoni mwa vijana ambao nawakubali sana kutokana na utendaji kazi wao kwanza amejaliwa sauti na anakipaji cha hali ya juu hebu fuatilia hizi nyimbo zake mbili halafu nitakuambia zaidi sikunyingine kwanini nasema hayo wakati huo na wewe nakupa ruhsa ya kumtafakari halafu nambie.
kwakuanza hapa anakuambia  Eyindaka Mabe fuatilia angalia alivyocheza na sauti ni shidah Ferré Gola .

haya hapa anakuja na kitu kingine anakuambia Pakadjuma hii ni moja ya nyimbo ambazo nazihusudu sana.


haya na wewe funguka nambie unaonaje.... mie Muziki wa afrika upo katika damu ni vigumu kuusahau ukweli hujitenga siku zote unagana na mie hapa kama kuna unayokosa kuhusu muziki huo niulize nitakujibu kwenye blog ndani