Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Wednesday, May 27, 2015

TUKO PAMOJA BADO

Hakika nafsi ya mtu hubeba mambo mengi sana na siri NZITO mmno laiti tungeweza kuyaona yalio katika nafsi za wenzetu sijui ingekuwaje, lakini mwenyezi MUNGU anajua sababu ya kutokuwezesha binadamu kuona kwa macho yetu, yalio katika nafsi za wenzetu unaweza tabasamu lakini kilichomondani ya nafsi yako unakijua wewe na MUNGU wako namshukuru MUNGU kwamba niko mzima, mwenye furaha kila wakati and am verry strong, verry strong. #sinamaana yeoyote natafakari tu....

No comments:

Post a Comment