Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Thursday, May 28, 2015

UEFA YAITAKA FIFA KUHAIRISHA UCHAGUZI WA VIONGOZI.

Baada ya jana kushuhudia baadhi ya maofisa wa FIFA wakitiwa nguvuni kwa kile kinachodaia kujihusisha na rushwa katika michuano ya kombe la dunia,Shrikisho la soka Barani Ulaya UEFA limeitaka FIFA kuhairisha uchaguzi wa Shirikisho hilo kwa siku ya kesho kutokana na kashfa iliyotokea hapo jana.