Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Monday, March 12, 2012

THE 4TH ANNUAL DIDIER DROGBA FOUNDATION BALL.

hongera sana mama Yasmin aka Ma Mundele kwa kazi nzuri za kiburudani ambazo umekuwa ukifanya hakika zina fana sana  mdau wa blog kama kichw acha habari kinavyo jieleza ndivyo ilivyo kuwa huko London Uingereza miongoni mwa waandaaji wa shuhulihiyo iliofana vilivyo ni Mamaaa Yasmin Aka Ma Mundele bibie ambae amekuwa akipambana na kufanya mengi makubwa katika secta ya burudani

kutoka kulia ni Yasmin akiwa na Shost

 Husband duo from mali, Amadou hawa ndio waliokuwa wakitoa burudani kama hufahamu hawa wawili mke na mume wote ni vipofu kabisaaa. lakini kwa kutoa burudani ni kiboko waliipamba vilivyo shuhuli hii ya Didie Drogba........................... upo!

Yasmin katika pozi mwana dada huyu ndie Manager wa Fally kwa Hapa Bongo amekuwa akimleta na ukimuhitaji basi muone
Yasmin na Manu Adebayor

 Mamu ndele Yasmin hapo chacha
 WAKIWASILI ENEO LA TUKIO

Manu Adebayor akinongonezwa jambo na Yasmin
yasmin hapana chezea yeye kwenye MENU
 picha zinajieleza jamani
 shuhuli ilinoga hatari


Drogba akitoa Hotuba
 Didie drogba akionge ajamno

haya waosha vinywa kazi kwenu maana najua wapo watakao chonga ha ha ha ha mie nimewasilisha.