Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Friday, March 2, 2012

HIZI NI ZA CHINI YA ZULIA MSINIHUMUMU MIE :LILIAN INTERNENT AHAMIA MASHUJAA MUZICA mmmmmh ! TWANGA PEPETA VIPI JAMANI .


Mnenguaji mahiri na wakutumainiwa naweza sema ndio mnenguaji bora kabisa nchini na katika bendi ya Twanga pepeta maarufu kwa jina la lilian internet ya daiwa kuwa katika habari zilizo chini ya zulia na zilizo fikia meza yangu hivi punde jamani ni kwamba mrembo huyo tayari  ameshahamia mashujaa na atatambulishwa rasmi jumatano ya wiki ijayo katika ukumbi wa nyumbani lounge atasindikizwa na machozi band, pia Aly Akida amesaini mkataba na mashujaa band so watatambulishwa pamoja

NI MIE MSIMULIAJI WENU TU MSINIHUKUMU