Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Wednesday, March 28, 2012

CHAZ BABA ACHAGULIWA KUWA RAIS WA MASHUJAA BAND.


Jana Tarehe 27 march 2012 Wanamuziki wa Mashujaa Musica walimchagua kwa kishindo Chaz Baba kuwa Rais wao ktk uchaguzi uliokuwa wa uwazi na haki.Baada ya wasimamizi wawili ambao ni wadau wa Mashujaa,na waliopendekezwa na Wanamuziki wenyewe wakisaidiwa na Mnenguaji mmoja Swty Beby walihesabu kura kwa uwazi na hatimae kutangaza matokeo.Chaz Baba alishinda kwa kupata kura 19 kati ya 26 zilizopigwa.....