Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Wednesday, March 28, 2012

HATIMAYE CHUO CHA BIASHARA CBE CHAPIGA MARUFUKU MAVAZI YASIYOZINGATIA MAADILI.

hii ni kwa wanafunzi na wageni woote wanaofika chuoni hapo yasemekana kw asasa ukiingia chuoni hapo na moja ya mavazi hayo au kama kijana umevaa hereni hata kama si mwanafunzi hutapatiwa huduma yeoyote, na kamwe hutaruhusiwa kuingia chuoni hapo.





3 comments:

  1. safi sana.... chuo ni mahali pa kupata knowledge sio mengine....i like idea ingawa litapingwa sana kwa uhuru wa uvaaji!!

    ReplyDelete
  2. mitihani inavuja kila siku chuo hakina facilities zakutosha, walimu kila kukicha wanataka ngono kwa wanafunzi, chuo hakina principal.. Yote hayo hawa yaoni wanaangalia mwanafunzi kavaa nini.. Am so disappointed

    ReplyDelete
  3. MAONI YA WADAU KUPITIA LINK YA BLOG HII KUTOKA FACEBOOK

    You, Ester Esther and 2 others like this..

    Kelvin Mtenga hivi maadili yanayozungumziwa ni maadili ya namna gani???? nani kasema kuvaa nguo fupi sio maadili???
    Wednesday at 3:54pm · LikeUnlike.Kelvin Mtenga halafu mkumbuke chuo sio seminary wala sekondari

    Wednesday at 3:54pm · LikeUnlike.Sophie Kessy ndio nimeufikisha ujumbe open link soma kw aundani angalia vipeperushi vyao then acha comment kw ablog watazikuta wenyewe Kelvin
    Wednesday at 3:56pm · LikeUnlike · 1.Mubelwa Bandio Maadili...... Mmmmmmmhhhh!
    Naenda huko "link"ini

    Wednesday at 3:57pm · LikeUnlike.Sophie Kessy oka ka ka ka kwikwi kwi
    Wednesday at 3:59pm · LikeUnlike.Albert Swai mim kwa upande wangu naona ni sawa kila kitu kwa wakati na kila vazi na mahala pake sio unaenda darasani unavaa kama unaenda disco good
    Wednesday at 4:03pm · LikeUnlike.Stevejunior Chaula hayaa sisi majirani zao DIT tutasafisha macho wap?

    Wednesday at 4:30pm · UnlikeLike · 2.Stevejunior Chaula PRINCIPLE drop DIT`S courses to their modules they will be in proper DRESS CODE automatically,...
    Wednesday at 4:41pm · LikeUnlike.Dennis Mushema U can't be serious
    Wednesday at 4:51pm · LikeUnlike.Mngereza Miraj Kila vazi na mahala pake! tatizo linajulikana, 'nani aanze kukemea?' maana, kidogo tu utaambiwa unaingilia uhuru wa mavazi! Aah, jamani eeh, kila kitu tuambiwe?

    Wednesday at 4:57pm · LikeUnlike.Mngereza Miraj Kila vazi na mahala pake! tatizo linajulikana, 'nani aanze kukemea?' maana, kidogo tu utaambiwa unaingilia uhuru wa mavazi! Aah, jamani eeh, kila kitu tuambiwe?Wednesday at 4:58pm · .

    Sadoti Mwesiga ;ANASEMA du kumbe wana wa mwovu bado mpo! jamani ni bora ingawa siko poa na principal lakini ktk hili nampa tano, mana sisi wana cbe tuliopo nje ya chuo tunajua ni nini kimeepushwa, Mungu ibariki Cbe, Mungu ibariki Tz,Mungu ibariki Afriq
    Wednesday at 8:03pm · LikeUnlike.Daud Yunus Ina maana hiki chuo (CBE) ni cha watanzania tu na hakipokei wanafunzi toka mataifa mbalimbali? Kwa sababu huweza kuweka dress code kwa chuo kinachopokea wanafunzi toka mataifa mbali mbali kwa kuwa kila mtu (au kila mwanafunzi) anavaa kulingana na utamaduni wake, mfano, kwa wenzetu wa mataifa ya magharibi msichana kuvaa kaptura wakati wa majira ya joto ni kawaida! Au watu wa mataifa mengine wana jinsi zao za kutengeneza nywele kama dreadlocks (for both men and women) n.k. Au black Americans kwa mwanaume kufaa heleni masikio yote 2 au moja la kushoto ni kawaida na wana sababu zao kulingana na tamaduni zao. Siku hizi vyuo ni biashara zaidi; kwa maoni yangu sheria hizi zitaathiri namba ya wanafunzi wageni toka mataifa mengine labda mniambie ni chuo cha watanzania (au waafrika) tu.
    13 hours ago · LikeUnlike.

    ReplyDelete