Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tuesday, March 20, 2012

SOKO LA HISA LA LEO KIBIASHARA ZAIDI


Soko la hisa la Dar es Salaam hapo jana lilifanya mauzo ya jumla ya shilingi milioni 65.23 kutoka katika hisa  79,644 .

Kaunta ya NMB ilikuwa na hisa 9,500 zilizouzwa kila moja kwa shilingi  850 .

Kaunta ya  SIMBA ilikuwa na hisa  200 zilizouzwa kilammoja kwa shilingi
2,380.

Kaunta ya  SWISSPORT ilikuw ana hisa  400 zilizouzwa kila mmoja kwa shilingi
1,000.

Kaunta ya twiga TWIGA ilikuwa na hisa 99 zilizouzwa kila mmoja kwa shilingi  2,200 .


Kaunta ya TBL ilikuwa na hisa  19,425 zilizouzwa kila mmoja kwa shilingi  2,600 .

Wakati kaunta ya  CRDB ikiwa na hisa  50,020 Zilizouzwa kila mmoja kwa shilingi 150 .

Hivyo ndivyo ilivyo kuwa katika soko la hisa hii leo hapa jijini Dar es saalam.