Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Wednesday, March 14, 2012

FOR THE FIRST TIME READING NEWS ON TV SIO KITOTO DAH
JANA MARCH 13 2012 KWA MARA YA KWANZA NILIANZA KUSOMA HABARI KWENYE TV DUH WAS HARD KWAKWELI AND I WAS SO NERVOUS,SHAKING NA HOFU DAH BUT THANKX GOD NIMEFANYA WALAU IPASAVYO MAANA JAMANI SIO KAZI NDOGO USIWAONE WALIOPO CNN, BBC, DW NA KWINGINEKO UKADHANI NI KAZI NDOGO PAMOJA NA KUWA WAZOEFU SEMBUSE MIE NILIE KAA KATIKA MEDIA KWA MIAKA ZAIDI YA 7 PAMOJA NA KUSOMA NEWS RADIO NA KUFANYA VIPINDI KWENYE TV LAKINI LINAPOKUJA SWALA LA USOMAJI HABARI MMH JANA NILIANDIKA HISTORIA HAKUNA CHA UZOEFU KATIKA HII KAZI JAMANI .

THANKX FRIENDS KW ACOMMENT NA USHAURI TUTAZIDI KUSONGA MBELE.
LOVE YOU ALL.