Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Wednesday, February 29, 2012

VIDUME WANAO VUTIA WAREMBO WENGI DUNIANI.Alizaiwa ma kupewa jina la
Leonardo Wilhelm DiCaprio

Akapewa AKA yake kama
Leo
Lenny D
Height ni  6' (1.83 m)

Leornad dicaprio mmoja wa wacheza Movie mahiri sana ambae kwa sasa anatikisa katika m\Movie ya Inception
MSHAHARA  ANAOLIPWA KATIKA MOVIE ALIZOWAHI KUCHEZA AU KUSHIRIKI..
J. Edgar (2011)$2,000,000
Inception (2010)$59,000,000 (includes salary and all back end points off worldwide gross + share of DVD and pay-TV revenue)
Blood Diamond (2006)$20,000,000
The Departed (2006)$20,000,000
The Aviator (2004)$20,000,000
Catch Me If You Can (2002)$20,000,000
Gangs of New York (2002)$10,000,000 + Gross Points
The Beach (2000/I)$20,000,000
Titanic (1997)$2,500,000
The Basketball Diaries (1995).

So sorry ladies leonardo kafunga pingu za maisha na mwna dada mrembo Kate Winslet Habari ndio hiyo.DAVID BECKRHAM
alizaliwa 2 May 1975, huko Leytonstone,  London, Uingereza

Alipozaliwa tu akapewa jina na kuitwa David Robert Joseph Beckham

Nickname zake ni .
Dave
Becks
Golden Balls
DB7

Height ni 6' (1.83 m).
MSHAHARA WAKE $40,500,000 KWA mwaka David Beckham inamaanisha kuwa analiwa kiasi cha $3,375,000 kwa mwezi na  $843,750 kwa wiki $168,750.00 au kwa siku !


JAMAA PIA ANAMKE ha ha a ha halo raha sana anajulikana kwa jina la VICTORIA UPO .NIGERIAN MOVIE STAR ..RAMSEY NOUAH
ALIZALIWA 16 July 1973 huko Edo, Nigeria) maarufu kama  Nollywood actor. NA KUBATIZWA JINA .. RAMSEY NOUAH
MSHAHARA  WAKE  haikuwwekwa wazi kua analipwa kiasi gani katika movie zote ambazo amecheza ingawa yadaiwa kuwa ni miongoni mwa vijawa wanaolipwa vizuri mmno katika movie huko Nigeria. .


Mwana kaka huyo tayari anamke ingawa picha za mkewe hazijaweka wazi mitandaoni .
Tyler Perry
Alizaliw ana kupewa jina la  Emmitt Perry Jr.
Height ni 6' 5" (1.96 m)

mshahara wake ya daiwa kuwa mnamo  May 2010 mpaka  May 2011 iikuwa ni $130 million. ambazo alikuwa akilipwa hali iliopeelekea kuwa yeye ndie mburudishaji na muigizaji anaelipwa  huko ulaya akikamata nafasi ya 6 miongoni mwa waigizaji na wachekeshaji bora wnao lipwa ishahara mikubwa duniani.


Tyler perry jamani anatambulika sana katika movie zake za MADEA  Family na ameowa tayari.

HAYA WADAU HAO NI WACHACE INGAWA NI WENGI SANA NITAREJEA KUONGEZA WENGINE LEO NIMEANZA NA WANAUME WAKATI MWINGINE TUTACHAMBUA NA WAKINA DADA KAZI KWENU NAANGALIA DUNIA NZIMA NAMBIE NA WEWE UNADHANI NANI PIA ANATIKISA NA KUVUTIA KAMA KICHW CHA HABARI KINAVYO SEMA NIANDIKIE MWENZANGU kessysophia@gmail.com  HIYO NDO EMAIL ADRESS YANGU KAZI NI KWAKO. USINAGALIE HATA HAPA NYUMBANI WAPO NAMBIE NIANDIKIE  NITAFUATILIA NA NITAIWEKA HAPA .BAADEA BASI MPENDWA .
$1,000,000