Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Sunday, January 25, 2015

HAWA VIJANA NI HATARI SANA DAH SIJUI NI SEMEJE ILA WENYE BENDI MJIPANGE Yamoto Band ~ Nitakupwelepweta [Official Video]


HAYA kichupa kipya kabisa cha ya moto bendi wanakuambia mimi sio saizi yako Nitakupwelepweta bure haya ujumbe na burudani vimetulia sana mienawapa hawa vijana asilimia 100 ya burudanwe unawapa asilimia ngapi?.


ni vijana hatari sana kila ngoma kali wenye bendi haya ndio mapinduzi ya muziki sasa mjipange vijana wanaimba nyimbo fupi tamu na zenyekueleweka.

No comments:

Post a Comment