Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Sunday, January 18, 2015

WAWILI HAWA WAPENDANOA IRINA SHAYK & CRISTIANO RONALDO WATENGANA KISA NA MKASA?


 Mwana Soccer  mahiri ulimwenguni Cristiano Ronaldo karejea sokoni kina dada mpo all single ladies kazi kwenu ha ha ha ha  mtajuta mtampataje ? ila kwa sasa jamaa inadaiwa yuko single!


Mwanasoka huyo ambae alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na mpenzi wake wa sikunyingi  ambae pia ni mwanamitindo  Irina Shayk, yadaiwa wameachana kwa sasa .

"We can confirm Irina Shayk has ended her relationship to Cristiano Ronaldo of five years. "yasemekana".......

No comments:

Post a Comment