Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Monday, January 19, 2015

KIAFRIKA ZAIDI KICHUPA KINGINE KIPYAA AFRICAN DANCE – NIKKI LAOYE & XBLAZ

Ijo!


kibao kipya kabisa kutoka katika albam yake mpya alioipa jina la  ‘The 123 Project’, mwanamuziki  Nikki Laoye akicheza ainambalimbali za uchezaji syles sijui naeleweka ni zile  maarufu za  dances  “African Dance”, ni mchanganyiko wa  skelewu, azonto na alanta.Je ingekuwa wewe muafrika mwenzangu usiekubali kupitwa  ungeweza cheza stail hizi? basi burudika