Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Thursday, January 22, 2015

THE PLACE TO BE ZANZIBAR PALUMBO HOTEL

The place to be Zanzibar ‪#‎Hotel‬ inaitwa PALUMBO ni jina la Kiitaliano...hotel ipo Zanzibar mkoa wa kusini Unguja kwenye ufukwe wa Uroa. ‪#‎Zanzibar‬ ooh Zanzibar the beautiful island of Africa Zanzibar ooh Zanzibar 


 fukwe murua na safi kabisa
 vijana wakiji enjoy ufukweni
 ukifika zenji hukose mambo haya ya misosi
 samaki unaemuona hapo ndio katoka kuvuliwa hapo anasubiri kupukwa
 mandhari safiii murua kabisa
 ukiwa na muda usingoje  kusimuliwa nenda kisiwa cha maraha ukajifariji na kuburudika
asante kaka Salum Mwinyi mkuu mdau wa blog hii kwa picha nzuri.
na wewe pia kama mdau ruhusa kabisa kunitumia picha za matukio mbalimbali kwa email yangu kessysophia@gmail.com nzazipokea na kupost karibu.