Ni mwaka mmoja sasa tangu mtangazaji mashuhuri afariki dunia Komla
Dumor alifariki tarehe 18 January 2014 akiwa nyumbani kwake huko
London.
Nakumbuka vyema kipindi hiki nilikuwa huko na nilibahatika kuweka saini katika kitabu cha kuomboleza kilichopo pembeni ya picha yake .
Komla alikuwa mtangazaji mahiri sana kutoka Ghana aliekuwa akifanya kazi katika shirika la utangazaji BBC London hasa katika uwasilishaki wake wa taarifa ujasiri na ucheshi wake aliweza kuonyesha tofauti kubwa sana .
Komla pia alibadili mitazamo ya wengi kwa kuiweka afrika mbele lakini pia alivutia vijana wengi katika kazi yake viongozi mbalimbali ulimwenguni walimtambua kwa uhodari wake wakiitazama afrika .

Nikinukuu maneno ya rais wa Ghana John Mahama aliyo andika kupitia
mtandao wa kijamii wa twitter alisema "Dumor was one of Ghana's
"finest ambassadors" and "was a broadcaster of exceptional quality and
Ghana's gift to the world." Mwisho wa kunukuu Hakika ni ukweli mtupu
bado tunakukumbuka na tutakukumbula daima ulionyesha mfano kwa
wanahabari wengi pumzika kwa amani Komla Dumor.
No comments:
Post a Comment