Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Monday, January 26, 2015

ZIARA YA WAZIRI MKUU WA TAZNANIA MIZENGO PINDA NCHINI DUBAI 2014

Waziri mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda alifanya ziara mwishoni mwa mwaka jana katika Nchi za falme za kiarabu (DUBAI) lengo ikiwa ni kutangaza fursa za uwezezaji hasa katika sekta ya utalii wa ndani nchini Tanzania katika ziara hiyo aliambatana na Waziiri wa Utalii Lazaro Nyalandu . fuatilia makala fupi ya safari yake msimuliaji ni Sophia Kessy.