Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Sunday, January 18, 2015

JEMBE NI JEMBE BEACH, NYEGEZI MWANZA

jembe ni Jembe beach Mwanza
  Ni Picha zilizopigwa mwishoni mwa mwezi Novemba mwaka jana na kaka yangu mtembezi wa Tembea tanzania kwenye kiota cha maraha bin burudani  kinachokonga maraha katika jiji la Mwanza. Ni Jembe ni Jembe beach iliyopo maeneo ya Nyegezi, nje kidogo ya jiji la Mwanza. Kiota hiki cha maraha kipo karibu na Chuo cha Mtakatifu Augustine campus ya Nyegezi.



jembe ni Jembe beach Mwanza

jembe ni Jembe beach Mwanza

jembe ni Jembe beach Mwanza
 Upande wa Ziwani

picha na maelezo kwa hisani ya Tembea tanzania ukitaka kufaidi zaidi tembelea blog mahiri ya utalii wa hapa nyummbani http://tembeatz.blogspot.com/2015/01/jembe-ni-jembe-beach-nyegezi-mwanza.html#more 
enjoy .

No comments:

Post a Comment