Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Wednesday, January 21, 2015

YAPATE YA MKANDA UNAOJIFUNGA WENYEWE KIUNONI MAMBO YA TEKNOLOJIA HAYO

20140104_ces-unveiled_0096
Kadri siku zinavyozidi kusonga mbele ndio mambo yanavyozidi kubadilika hasa kwenye idara ya teknolojia mambo yamekuwa mambo kila siku tunashangawa na mengi maajabu ya teknolojia hasa sasa kutana na hii kali ya mwaka.


Teknolojia zinatupeleka mbali sana,
IMG_7136.0kupitiaTech talk  ya clouds tv na Sophia Kessy tumekuwa tukishuhudia mengi yanayohusu teknolojia
Leo kuna huu mkanda mpya kabisa, huna haja ya kuulegeza ama kuukaza, hayo yote unafanya wenyewe.
Mkanda huo uliobuniwa Paris unaweza kujirekebisha wenyewe kiunoni, ukila ukashiba huna haja ya kuuweka sawa, utakaa wenyewe size ya kiuno kilivyo, au unapokaa chini na kusimama kazi ni hiyo hiyo ndio unatoa mamcho mambo hayo mapya na adim.
Huu niubunifu wa Kampuni ya Consumer Electronics Show (CES). hawajasema utauzwa kwa bei gani.
246B8EA000000578-0-image-a-28_1420475576899
bpci64mva3keyigwwxmt
Smartphone app itakusaidia kurekebisha size ambayo unataka mkanda huo ujifunge.
belt
belty-2

belty3

IMG_7145.0

neb62kkoi9tjhknolitn
shuhudia kwa mamcho yako kwenye video hii kuona vizuri zaidi mkandaa huu uanza kutolewa awamu ya kwanza mwezi december kwa wanaume kisha awamu ya pili itakuwa ni kwa wanawake.