KWA NINI BAADHI YA WATU HASA WANAUME WANAPENDA KULA KUCHA!!! JE NI UGONGWA AU NAOMBA MNISAIDIE KUFAHAMU MNAOFAHAMU ......JAMBO HILO LINA NIKERA NIMEONA MARAFIKI ZANGU KADHAA WAKILA KUCHA MPAKA ZIMEKUWA HIVYO JAMANI MA DOCTOR NA WATAALAM WA MASWALA YA AFYA NINI TATIZO NA NINI TIBA YAKE???? HEBU TUWASAIDIE WENYE TATIZO HILO!!
· · Share
Stella Meshack and 2 others like this.
Munyama Mukubwa Kamba Fedha Mi pia ni muathirika wa hyo k2 na wakat mwngne napambana na hyo hali lakn najkuta 2 kdole kshafka mdomon na nakata kucha kwa meno.. Nshawah kuulza sehem nkaambiwa huo ni ugonjwa na cwez kupona coz ni automatic kama yalivyo mapgo ya moyo. Kiukwel kuna wakat najichukia.
Sophie Kessy CHUMA POLE SIO WEWE PEKE YAKO MIE NIMEONA MARAFIKI WENGI SASA NAJARIBU KUULIZA COZ FACEBOOK INA WATU WENGI WANAFAHAMU MAMBO MENGI LABDA WANWEZA KUTUSAIDIA KUPATA JIBU ILI TUWASAIDIE NA WENZETU MARAFIKI NAJUA FIKA HAWAPENDI ILA WAMEZOEYA SASA KAMA UNAVYOJUA MAZOEYA NI MABAYA TIBA YAKE NDIO LA MSINGI MWENYE KUFAHAMU TAFADHALI ATUSAIDIE.
Haika Mcharo tatizo hawapendi urembo.Kucha ni sehemu ya urembo.Alafu wanawaponda akinamama na akina dada wanaokaa kusafisha kucha hasa sehemu za wazi kama Mwenge. Hata siwaonei Huruma.Acha waendelee kula wanaposikia njaaa
Ulimboka Hosea Jaman sijui niseme n mazoea coz unajikuta vdole vpo mdomon tu coz cdhan kama n ugonjwa au la hasha
Sophie Kessy TAFADHALIMADAKTARI WOTE I KNOW NINA MARAFIKI MADAKTARI WENGI TU HUMU NDANI HEBU SAIDIENI JAMANI WATU WANAMALIZA KUCHA KWA KUZITAFUNA TATIZO NINI NA TIBA YAKE PLZZZZZZZZZZ! AU MPAKA TUANZISHE KAMPENI YA (OKOA KUCHA)!!!!! KHE
Json Swag Hiyo ni sababu ya njaa, maana utaona mwanaume katoka na duu, duu yeye anakula chips kuku thn mwanaume anatafuna kucha...hyo ni kwa utaaramu binafsi!!!
- Sistus Basil siyo ugonjwa hata mimi hupenda kutafuna kucha, hata mwanangu wa kwanza, hii inatokana na wepesi wa kucha nyingine ni laini mno kama zangu hasa nikifua zote hukatika
Levina Maleo Bora umeliona Sophy, kusema ukweli hili suala huwa linanikera sana jamani ebu mjaribu kuacha plz
Elina Lutainulwa mi si doctor ila nafikiri hii ni tabia ya mtu aliyoianza toka utotoni,hakuianza ukubwani,na hivyo basi inakuwa ni psycological prblm si rahisi mtu aweze kuiacha kiharaka sana bali taratibu kwa kuikataa hiyo hali na kuifanya mikono kuwa busy ol da tym asipate muda wa kula kucha
KAMA UNAWAZO LOLOTE AU NA WEWE UNAELEWA TIBA HEBU TUWASAIDIE WENYE TATIZO HILO TAFAHALI..
No comments:
Post a Comment