Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tuesday, June 26, 2012

SALAMU TOKA KWA MWANAMUZIKI DALLY KIMOKO UNAMKUMBUKA!!!


I am so glad kuona kuwa hata wanamuziki wa nje ya Tanzania wanatambua mchango wangu leo asubuhi nimefurahi sana kupokea ujumbe na salamu kutoka kwa mwanamuziki mkongwe maarufu kama DALLY KIMOKO (Dally Germain Kimoko).

akisema still anafanya poa na nanukuu "NIKO MUZURI SANA" AKIMAANISHA YUKO FIT kwa habari zaidi za mwamuziki huyu  kwa sasa yupo na bado anafanya vizuri katika muziki  akiwa huko DRC kongo mengi zaidi yatakuja kuhusiana na mwanamuziki huyo ambae nimeomba kufanya nae mahojiano maalum atakapo kamilisha kuyajibu basi wadau mtayaona na kuyasoma


kwa ufupi sana Dally kimoko ni mpiga gitaa , mtunzi na mwimbaji  amewahi pia kufanya kazi na mamia ya wanamuziki wakubwa tu maarufu. akiwemo hayati Pepe kalle Nyboma Canta, madilu system, abĂȘti masikini, lokassa ya mbongo, Lesliena kundi la magic system, aulus mabele, kanda bongo man, Pierrette Adams, M'bilia bel, mpongo love, long long, Oliver ngoma, ismailo, papa wemba, koffi olomide, richy sakamoto, carlito lassa.na wengineo wengi tu.


        HUU NDIO UJUMBE  ALIONIANDIKIA
How are Sophie longtime are you fine? Im fine (Dally kimoko) i ahve been to busy with work but thank you for suporting african music i realy apriciate please dont forget our work on your Radio station  we will never forget you your doing good and great things. please dont Forget me beacause i no Forget you to. Thanks niko muzuri .

Dally kimoko my sister i love you.