Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Wednesday, June 27, 2012

KIONGOZI WA MADAKTARI WALIOGOMA ATEKWA, APATIKANA AKIWA MAHUTUTI
Dr. Stevin ulimboka alipataikana mapema leo asubuhi ambapo amewahishwa katika hospitali ya Muhimbili Kupatiwa matibabu  yupo mahututi ambapo amepataikanaakiwa ameumia vibaya kutokana na kipigo cha watu ambao hawajafahamika .

dk: ulimboka alipatikana baada ya taarifa mbali mbali kusambazwa katika mitandao mbali mbali kuhusu kupotea kwake.


Angalia xclussive ya dk: Ulimboka live Clouds Tv walipopata mahojiano yake leo mapema baada tu ya kupatikana akiwa katika hali mbaya .... soon Clouds Tv