Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Friday, February 3, 2012

Baada ya Kutangaza kutokuwa na hatia ya ubakaji watoto mwanamuziki kofii asema yupo tayari kutinga mahakamani nchini ufaransa.Katika mkutano  wake na waandishi wa habari mwishoni mwa wiki huko Kinshasa wakitia akizungumzia kuhusu album yake mpya iitwayo "Abracadabra," Koffi alisema alikuwa tayari kukutana uso kwa uso na wahusika wa mahakama  za Ufaransa katika siku chache zijazo, kusimamisha taarifa za kesi ya ubakaji inayo mkabili baada ya kukiri na kutangaza kwamba hana  hatia.
" Nadhani tatizo lolote linapotokea kawaida ni kupatiwa  ufumbuzi. Hivi karibuni, nami kwenda Ulaya kujifunza zaidi juu ya kesi. Mimi si hofu ya kitu chochote ...ALISEMA KOFII.
Kwa sababu ukweli hatimaye UTAJULIKANA  ... ", alisisitiza