Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Monday, February 20, 2012

INANIKERAAAAAAAAAAAA

sorry friends but i have to say this............huwa inanikera sana sana tu  mtu anapoingia kwenye mitandao hii ya kijamii kama facebook au tweeter, then ni rafiki yako kabisa katika friends list yako anaingia wakati mna chart anakuuliza we nani uko wapi unafanya wapi kazi uko nchi gani??? ah ah aaaaaaahhhhhhhhgr wakati kwenye profile kuna information zote oooh... si usome maelezo how can you be friend with some one halafu husomi profile yake ukaepuka maswali ya kijinga au yasio na maana kama hao jamani.

ni vizuri kuchart lakini maswali mengine basi yawe ya msingi sio unaitwa nani unakaa wapi wakati profile zinaonyesha wazi aaah plz inanikera samna mie sijui wenzangu labda nyie mwaenjoy. ni mtizamo wangu tu.