Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tuesday, February 21, 2012

Whitney Houston alimpenda Yesu ! na Picha za Maziko yake
iliripotiwa mara nyingi kuwa mwanamuziki Whitney Houston alikuwa kiwaambia marafiki zake wa karibu kuwa ( muda umefika wa kuongea na kumuona Yesu) alikuwa akiyasema hayo mara nyingi na muda mchache kabla ya mauti kumkuta
marafiki zake wakaribu walisema alibadilika nakuonekana mtu mwenye imani kubwa ambapo aliweza kunukuu pia vipengele mbali mbali vya biblia na kuvisema kwa marafiki ikionyesha wazi sikuzake za mwisho zimewadia


ijumaa iliopita siku moja kabla haijagunduliwa kuwa amekufa ndani ya maji bafuni kwakwe huko  Los Angeles kwenye hoteli  aliofikia yadaiwa kuwa alimuambia mmoja wa rafikizake kuwa "I'm gonna go see Jesus. I want to see Jesus," limeriport gazeti la the sun.
na ilipofika jumamosi akawa mpole sana na kila wakati akisema  I really want to see that Jesus." akimaanisha nataka sana kumuona Yesu.


Whitney, ambae alikuwa akipambana kwa muda mrefu katika kuacha utumiaji wa dawa za kulevya  ambazo zilisha muathiri kwa kiasi kikubwa imedaiwa kuwa  mahojiano yake ya mwisho kufanya alisema kuwa yuko ,comfortable na maisha yake.
Miaka  48-ya  soul legend huyo alidai amejipanga vyema kusimama na kumuangalia kwa makini na kukumuza mwanae wakike ajulikanae kw ajina la Bobbi Kristina. (kwa bahati mabya mauti yaka mkuta na hapa ni wakati wa maziko yake.


inahuzunisha mno .... kwa Bobbi Kristina, kwa kumpoteza mama na kwa boby pia kwa kumpoteza mke alietaka kubadilika na kuwa Mama mwema.
apumzike kwa amani .