Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Wednesday, May 9, 2012

Breaking News- Watangazaji, waandishi wateuliwa kuwa Ma- DC

Rais Jakaya Kikwete amewateua waandishi wa habari, na watangazaji waandamizi kuwa wakuu wa wilaya.

Miongoni mwa walioteuliwa ni Ahmed Kipozi, Jackline Liana, Muhingo Rweyemamu, Novatus Makunga, na Selemani Mzee.

Pia Mbunge wa Viti Maalum ambaye pia ni Mwandishi wa Habari, Lucy Mayenga ameteuliwa kuwa DC.

Habari zaidi baadaye.

No comments:

Post a Comment