Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Tunapatikana Sinza kwa Remmy

Thursday, May 3, 2012

UHURU WA VYOMBO VYA HABARI MAANA YAKE NINI ??



Leo dunia inaadhimisha siku ya uhuru wa vyombo vya habarimay 3.
Lakini wadau kweli uhuru huu upo..? tunayo mifano michache katika baadhi ya nchi za Afrika.
Pia katika nchi za nje ya bara hili tumesikia wamiliki, wahariri, waandishi wa habari wakidhibitiwa na mamlaka zinazotawala nchi au wakidhibitiwa na watu wachache wenye uwezo wanaozimiliki mamlaka zinazotala.

Haya ni ya kwetu machache lakini mengi tunayatarajia kutoka kwenu wadau.

 Uhuru wa vyombo vya habari maana yake halisi ni nini….???

No comments:

Post a Comment